CHOZI LA USALITI[II]
Nilijaribu kumsaidia sana mama ako kwa kila kidogo nilicho kuwa nikikipata ingawa nilikuwa bado mwanafunzi wa chuo Na nilimtembelea pale alipo kuwa akiumwa au akijisikia vibaya nilienda nyumbani kwa shangazi yake maana shangazi alikuwa tayali ananifahamu! Na pale nilipo wadanganya wazazi kuhusu pesa, walipo nitumia hela za matumizi zote nilimpa mama ako ili aweze kuishi bila matatizo, baada ya mda ulizaliwa na nilijitahd kwa michango yangu mingi nikimpa shangazi yake mama ako ili aweze kuongezea kwenye matumizi yako na mama ako; Niliendelea kusoma kwa shida! na mahitaji muhimu yote nilijitahid kukupatia ili ukue vizuri; Baada ya miezi mi nne siku ya juma pili kama leo mama ako alinipigia simu akisema
"Mme wangu naomba uje maeneo ya FUBWA nina mazungumzo sana ya muhimu na wewe"
Siku sita maana nilikuwa nampenda sana mpenzi wangu!
Nilipo fika nikaagiza chakula na vinywaji kisha nikakubeba maana nilikuwa nimekumiss sana mwanangu, "mama ako akasema mme wangu ngoja ninunue vocha apo juu nakuja sahivi"
Nikasema, "sawa wai mke wangu tuweze kuongea maana mda umeenda sana"
Nilishangaa sana maana mama ako alikaa nusu saa hajaja! Nikiwa nimekubeba palepale fibwa, sikukata tamaa nikaendelea kumsubilia dah! Nilishangaa masaa sita! mama ako ajarudi nikaanza kuwaza masikini, mama ako akatuma ujumbe mfupi wa maneno akisema "samahani mpenzi wangu nimeshindwa kukaa na mwanao maana nimepata bwana na hamuitaji huyo mtoto, mlee mtoto wako mwenyewe msaada wangu wa kumlea umetosha sasa."
Siku amini ile sms ndipo nikajaribu kupiga simu ila hakupokea kabisa! Nilianza kuwaza chozi likinitoka jinsi mama ako alivyo nisaliti na kuniachia mtoto mdogo sana wakati bado nasoma na sina kazi pia mfukoni sina pesa za kutosha na chumba nilicho kuwa nikikaa tulikuwa watu watano wawili wanasoma kama mimi wawili vijana wahuni tu. Kipindi nipo pale FIBWA nimepigwa na butwaa baadhi ya watu wananishangaa ! Mala ghafla mtoto ukaanza kulia ukipiga kelele! Nilikuwa sijawai kulea wala sikujua kuwa tayali umejikojolea. Ulilia sana jamani, ndipo dada mmoja muhudumu wa pale akanisaidia kukubadilisha "pamperz" nilipo enda na mtoto geto wenzangu walichukia sana wakasema

Comments
Post a Comment