CHOZI LA USALITI[III]

Wale marafiki wakasema kuwa "kaka vipi mbona unaleta mtoto mchanga sana gheto" niliwaomba wanivumilie tu maana niliogopa kukupeleka nyumbani sababu wazazi wangu walikuwa wakali sana hivyo wasinge nielewa kabisa; Dah baada ya nusu saa mwanangu ulianza kulia sana, nilikubembeleza mno lakini hukuelewa ulilia kama unapigwa mpaka ukawa mwekundu sikujua kuwa unanjaa nilizani labda unaumwa hivyo nikakupeleka hospital mida ya usiku; nilivyo waelezea wauguzi wakacheka tu wakatambua kuwa wewe uumwi bali ni njaa, "mama wa mtoto yuko wapi?" Waliuliza, nikawambia ametoroka akaniachia mtoto! Walishangaa sana wakasema "wanawake wa siku izi jamani"

Ndipo wakanishauli nikununulie maziwa ya kopo ila bei yake ilikuwa kubwa! marafiki wakajikaza sana wakaniwezesha tukayanunua, Nilimuomba nesi anielekeze jinsi ya kuandaa maziwa ili niweze kukupatia unywe, kweli nilijitahd kukubeba mgongoni na "babyshow" kukupeleka kiliniki mpaka wanawake wengine walinishangaa ila niliwaomba ushauli jinsi ya kukulea tu, siku moja napita barabarani kuna binti aliniomba mia tu, ndipo nikamwambia aje ninapo kaa ili nimpe kazi lakini ikifika usiku halali geto anaondoka; alikubali nimlipe 3000 kwa siku ili akulee wewe, lakini bahati mbaya aliniibia vitu vyangu na kukuacha ukiwa na njaa ukilia tu; nilianza kwenda shule mala chache kwa wiki malafiki zangu walipo shindwa kukubeba nilitoroka chuo na kupanda bodaboda ili nije kukuangalia! Nilimaliza chuo bila ndugu au wazazi kujua kama nina mtoto mpaka nikapata ajila mtoto wangu.
Nikauliza, Baba kwani mama hamja wasiliana tena? Hapana mwanangu tangu amekutelekeza na kukukimbia sijawai kuonana nae tena!

Nikauliza,, Na shangazi je? Baba akajibu Yule nilijaribu kumuomba ukae nae akulee yeye lakini alikataa kabisa akasema "nimezaa na kulea zamani sitaki kutawaza watoto tena mimi" dah sawa baba asante nimeujua ukweli! Baba wazazi wako walipo jua je? " wazazi walipo jua hawakugomba sana walishangaa tu kisha wakasema kwakuwa umepata ajila basi mlee mwanao" nilifurahi kujua ukweli!
Baba alirudi sebleni akaendelea kukaa na wageni mimi niliendelea kuwa na furaha pia, Baada ya mwaka1 baba alifariki kwa ugonjwa wa kisukali hivyo nikalelewa na shangazi.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza