CHOZI LA USALITI[IV]

Baba alivyo fariki, mali zake zote ndugu waligawana, hivyo zikateketea na hakuna alieweza kuziendeleza! mimi nilisomeshwa na shangazi na ndiye aliekuwa msaada wangu mkubwa ingawa na yeye hali yake ya kiuchumi ilikuwa ngumu. Nilipo maliza sekondari nilitamani sana kusomea uasibu na ndiyo kazi niliyo kuwa naipenda; lakini sikuwa na jinsi maana shangazi asingeweza kunisomesha kutokana na Ada ya chuo kuwa kubwa na malazi kwa ujumla! na Uhasibu kupata mkopo ilikuwa kwa bahati sana, na ambao walikuwa na uwakika wa kupata mikopo sanasana ilikuwa ni wanao somea uwalimu; hivyo ikanibidi nisomee uwalimu ili niweze kupata mkopo pia kwa urahisi; kweli bahati nzuri nilipata mkopo na nilimaliza chuo salama; kipindi nasubilia kupangiwa sehemu ya kufanyia kazi, Yani sehemu ya kufundisha,

Nilitaman sana kupata kazi karibia na nyumbani ili niweze kumsaidia shangazi maisha kwa ukaribu zaidi maana alikuwa na hali duni sana ya maisha, kipindi kile kiukweli, sikuitaji kuwa na mchumba; maana kwa story aliyo kuwa kanipa baba yangu kabla hajafa yani jinsi mama alivyo nitelekeza mimi utotoni! hivyo sikuwa ata na hamu ata kidogo ya kutafuta mchumba maana nilihisi wote wasaliti tu. Baada ya week mbili tulipangiwa sehemu za kufanyia kazi malafiki zangu watatu walipangiwa kifundisha hukuhuku! Wengine walipelekwa mikoani sehemu nzuri tu, lakini nilishangaa sana mimi sehemu niliyo pelekwa kufanyia kazi ni kijiji cha "Nchambamba" kijiji kilikuwa mbali sana kutoka pale nyumbani! maana nilipanda mabasi mawili! mpaka kufika kijijini kule;

Nilipo fika nikaenda kwa mwenyekiti tayali alikuwa kaisha pata taarifa kwa wakuu wa elimu hivyo akanilibisha mpaka kwake nakunielekeza shule ilipo, nilipewa nyumba ya kukaa ila ilikuwa chafu sana hakukua naumeme na wala hakukua na godoro hivyo nikamuomba mwenyekiti nilale kwake kwanza kisha kesho yake nijipange nikanunue vitu vya ndani maana tulipewa pesa za kuanzia maisha!kipindi namuomba mwenyekiti msaada wa kulala alikubali ndiyo; lakini nilikuwa na kiu sana cha maji! Nikamwambia mwenyekiti "Mzee naomba maji ya kunywa" kweli mzee alimuita mwanae akasema "Jovina binti yangu mletee mgeni maji ya kunywa" dooh Nilipo muona jovina moyo wangu ulidunda

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza