MAPENZI BASI[VII]

Wakiwa katika vuta ni kuvute panapo speed kali na utamu wa mchezo uliokolea, simu ya mama D iliita na kuleta jina la Mama Imma. Alipokea baada ya kuita mara 3 ilikupunguza upumuaji wake uliokuwa wa kasi."vipi kuna tatizo? Imma bado yupo kwako? " aliuliza mama Imma akiwa mwenye hofu. Mama D alimtoa wasi wasi na kumuahidi kumrejesha Imma kwani muda ulikuwa usha enda na ilikuwa mida ya saa 4 usiku. Imma alivyomuoga alikuwa tayari kavaa nguo tayari kwa safari." Imma tatizo nini si tumalizie tu kidogo mpenzi uoga wa nini na kupitisha kwenu" alibembeleza mama D. Lakina wapi Imma aling'ang'ania kwenda home maana mziki wa baba yake anaujua yeye. Walivaa na kuondoka hotelini hapo huku wakikodolewa macho na wambea. Imma alifika nyumbani kwao na kusalimiana na familia yake kisha kuelekea chumbani kwake taratibu usingizi ukampitia. Aliamshwa na mama yake asubuhi ya jumapili aende kanisani. Aliamka na kujiandaa kwa ajiri ya ibaada ya kwanza.
Alifika akiwa amechelewa kidogo na kuingia. Baada ya ibaada alimuona Doreen akiwa na rafiki yake wakielekea nyumbani. Imma aliamua kwenda kumsalimia Doreen. Walisalimiana na kuzungumza mengi huku Imma akiendeleza tafakari ya siku hiyo. Yule rafiki wa Doreen alifika alipo kuwa akienda na kuwaacha Imma na Doreen wakiongozana pamoja. Doreen alimuomba Imma apitie kwao wakapate japo kifungua kinywa. Imma alipata hofu ya mama yake Doreen kuwepo lakini Doreen alimtoa wasi wasi akamwambia mama yake yupo kanisani misa ya pili. Walifika kwa kina Doreen na kupakuta pakiwa patulivu sana. Hakuna mama d wala binti wa kazi. Imma alimtamani na kuwaza afanye nini kumshawishi Doreen amtekenye. Alibaki peke yake anakunywa chai kisha Doreen aliingia chumbani kwake. Hapo Imma akapata wazo la kumfata huko huko chumbani. Alifungua kitasa cha mlango na kuingia ndani ya chumba. Akaangalia vizuri akamuona Doreen akiwa anajiangalia kwenye kioo huku akiwa kama alivyo zaliwa. Imma alipiga hatua moja kabla ya Doreen kugeuza shingo yake na kumuona. Doreen aliokota tauro yake haraka na kujifunga huku Imma akiwa mwenye aibu na kutoka nje kuelekea sebuleni. Kwa hasira Doreen alitoka nje na kumparamia Imma kwa matusi ya nguo na kumdhihaki huku machozi yakiwa yamejaa usoni mwake. Imma alijiona mkosefu sana na kuona hasitahili kabisa kwenye jamii alijua kila mwanamke anampata kirahisi tu. Akiwa na huzuni ikambidi aende kwao huku sauti ya Doreen yenye kwiki na kilio ikamsindikiza na maneno mazito. Akiwa anafungua mlango atoke nje akakutana na mama Doreen aliekuwa anasikiliza toka mwanzo ugomvi uliotokea....

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza