Chachandu Ya Penzi!
Ubunifu katika mapenzi ni Jambo jema.Huongeza udambwidambwi unatakaomfanya mpenzi wako akuwaze na kukumbuka utundu wako ukiwa mbali nae.
Mwanamke inabidi uwe mtundu kiasi ambacho mpenzi wako hata apate utamu upi hawezi kukusahau kirahisi.Usiwe gogo kitandani,usiwe na maongezi ya kufanya bendera ipepee nusu mlingoti muda wa kupiga gwaride.
Pia wapenzi inabidi mjenge dhana ya kubadili mazingira ya kukutana kufanya mapenzi.Hii pia husaidia kuwa na hisia tofauti.Wapo wanaoamua kukunjana kwenye gari,bafuni,au pengine hata kwenda hotel au porini.Hii huongeza akshi hata Kama mtu ulienae umemzoea.
Zitendee haki sehemu zake zimuamshazo hisia kwa namna ya pekee ili hata akishikwa na wengine asione jipya.

Comments
Post a Comment