Makosa Wanayofanya Wanaume Wakiwa Wana Sex🤦‍♂️ part III

Kosa La 6 – Kukimbilia Kuingiza Kitu Yako Ndani Yake

 Kitu kingine ambacho wanaume wanafail mara kwa mara na kinauzi wanawake wengi sana na ni kweli, ni kile tunachokitaka tu ni kuingiza kitu yetu kwenye vagina yake kwa haraka iwezekanavyo. Ingawa, hili mara kwa mara linapelekea kwenye maumivu na kuingia kwa shida na hiyo inamuondoa kabisa katika hisia za mapenzi.

Kwa hiyo basi itatakiwa ufanaye yafuatayo:

 

1.Mvue nguo taratibu kwa utaratibu na kumuonyesha nini kitafuata

  1. Pandisha hisia za mwili wake kwanza mpaka awe tayari.

  2. Mchezee matiti yake na chuchu.

  3. Jaribu kumtania na kumchezea sana mpaka uhakikishe amekuwa wet.


Weka kichwani: Hakuna kitu kitamuondoa katika hisia za mapenzi haraka kama ukiingiza kwa nguvu akahisi maumivu.

Kosa La 5 – Kufika kileleni haraka

Kila mwanamke atakwambia kwamba kwamba kama hauna nguvu ya kutosha kufanya wote wewe na mpenzi wako mkawa na furaha mkiwa kitandani, basi takwenda kupitia mambo magumu kwenye mahusiano yenu muda si mrefu au baadae.

Kwa hiyo basim inatakiwa ujifunze kukaa muda mrefu bila kufikia kileleni hara iwezekanavyo, kuna njia nyingi kufanya ukae muda mrefu bila kufika kileleni kwa haraka:

  1. Stamina na condoms zinazokufanya huhisi raha kwa haraka.

  2. Spray za kufanya unakuwa kama umekufa ganzi lakini uume ukiwa umesimama.

  3. Edging technique


Pay Attention: Niamini, kama unatatizo la kufika kileleni haraka, inatakiwa unafanya juu chini umalize tatizo hilo au atachukuliwa na watu wengine au atakuwa anakudanganaya lakini anagongwa na watu wengine pia.

 Kosa La 4 – Kujaribu Mikao Miiiingi.


 Wanawake wanachukia kubadilisha badilisha mikao mara kwa mara wakati wa kufanya mapenzi, utakapoacha kubadilisha, unapobadilisha mkao, raha anayojisikia hushuka kwa haraka sana hadi hali ya kawaida, sio hivyo tu, mikao ambayo hajisiki raha na angles mbaya zinaweza kumuondolea kabisa hisia, kwa hiyo usijifikirie wewe tu kubadilisha mkao ili usikie raha zaidi bila kujali mwenzako hapo alipo ndipo anasikia raha zaidi.

Huu hapa ni ushauri:

 

  1. Jiweke labda utabadilisha mikao mara 3 tu wakati wa tendo moja.

  2. Kila wakati chagua mikao miwili tu ambayo anaipenda na moja ambayo ni mpya na kali sana.

  3. Ya kuanzia na kumalizia zote ziwe staili ambazo anazozipenda na kati ya tendo unaweza ukampa staili mpya,


 

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kunyonya Mboo Kiufundi 💋💦💦

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege