Utamu Wa Jirani~25

Tililika nayo.....Na hiyo mimba ya nani"
si ya kwako "
mmmh"
unaguna nini"
hamna vipi lakini maisha yasemaje"
hivyohivyo mbona umetukimbia?
Maisha ndugu yangu si unajua kutafuta"
aaah kutafuta gani huko hadi unasahau majirani zako"
ila usijari nitawatembelea siku si nyingi"
haya, naona umekuwa baba kijacho"
wewe na we mbea"
nimekuwa mbea sababu haujanitambulisha"
haya njoo umuone wifi yako"nilimshika mkono mery na kuanza kwenda nae mahala nilipokuwa nimepaki gari
wakati huo precious alikuwa ameshaingia ndani ya gari na kunisubili mimi tuondoke
babe huyu ni rafiki yangu anaitwa mary alikuwa mpangaji mwenzangu"
nashukuru kukufahamu mary"aliongea precious huku akimuangalia na kumpa mkono
da mary huyu ndiyo wifi yako mama kijacho anayenifanya nijione ninakila kitu kwani uwepo wake ni amani moyoni mwangu"
nami pia nashukuru kukufahamu wifi
baada ya kuwatambulisha mary aliniaga na kuondoka mahala pale kwani alidai kuwa mmewake alikuwa akimsubili kwa doctor
baada ya kuingia kwenye gari nikaliwasha kisha nikaondoka huku mkono wangu wa kushoto ukitembea juu ya tumbo la precious
haikuchukua mda mrefu sana tangu tutoke hospital ya Nyakahoja tukawa tumeshafika nyumbani
leo nitaingia mwenyewe jikoni"nilimwambia precious kisha nikamuachia busu kwenye paji lake la uso na kuingia jikoni
ambapo nilipanga kupika mtori wa nyama kama alivyokuwa akitaka
baada ya kutoka pale sebuleni nikaingia jikoni na kuanza kuandaa mtori kwa kuanza kuzichemsha nyama mpaka zikaiva kipindi hicho nilikuwa nimesha menya ndizi na nyanya
hivyo baada ya nyama kuiva nikaanza rasmi kupika hadi nikamaliza na kuandaa chakula mezani kisha nikaenda kumuita precious ambae alikuwa ameshapitiwa na usingizi
nikamuamsha na ndani ya dakika chache akawa amekwisha amka na kuelekea nae mezani na kuanza kula

alfu babe kuna jambo nataka kukueleza" mmmhuuu"nilimwitikia huku nikipeleka kijiko mdomoni na kusababisha nitoe sauti kubwa kiasi
nimebakisha miezi miwili nijifungue nilikuwa ninaomba niende kujifungulia nyumbani"
kwani wazazi wako wanatambua kama unaujauzito"
ndio wanatambua na wao ndiyo walionipa huo ushauri"
mmmmh"
niluhusu babe si unajua nahitaji kukandwa nikishajifungua"
inabidi tuende wote"
hapana nitaenda mwenyewe ni kisha jifungua ndio utakuja kunifata kipindi nitakachokuwa nimeondoka utakuwa unaisimamia baa"
lini unatarajia kwenda "
hata kesho asubuhi ili mradi leo uende ukanikatie tiketi ya ndege leo"alimalizia precious
tulizidi kuongea mambo mengi ya msangi hadi tulipomaliza kula kisha na mimi nikajiandaa kuelekea airpolt kukata tiketi ya ndege inayofanya safari zake dares salaam kutokea mwanza
baada ya kujiandaa kwa mda nikatoka kisha nikaingia ndani ya gari verosa na kuianza safari ya kuelekea ilemela ambapo uwanja wa ndege upo
hazikupita dakika nyingi kwani ndani ya dakika 45 nikawa nimeshafika uwanja wa ndege,kisha nikapaki gari na kuanza kuelekea kwenye ofisi za precision air line
kukata tiketi
kesho kutakuwa na ndege itakayoondoka saa 8:15 am na nyingine saa 2:15pm "aliongea mdada ambae nilikutana nae ofisini hapo
baada ya maongezi ya mda nikakata tiketi ya asubuhi na kurudi nyumbani ambapo nilimkuta precious akiweka nguo kwenye begi lake
inaelekea una hamu sana na safari"nilimuuliza huku nikimpa tiketi ambapo alianza kuisoma kisha akanikabidhi
ntakumiss sana my precious"nilimtolea maneno hayo huku nikimwangukia kifuani mwake na taratibu nikaanza kushuka hadi kwenye tumbo lake ambalo lilikuwa kubwa kwa kipindi hicho
kama wa kiume aitwe Eliudi na wakike Teckla"nilimwambia precious huku nikilibusu tumbo lake kulipa baraka
natamani sana kuitwa mama wa familia"aliongea precious huku akinishika kichwa na kuninyanyua na nilipofikia usawa wake akanza kunipa mabusu mfululizo huku akiniambia nisije nikamsaliti kwani nitamuumiza yeye na mtoto na anaweza akachukua hatua mbaya
baada ya maongezi ya mda mrefu kiasi tukiwa chumbani tukatoka na kuelekea sebuleni na kuweka cd ya series (jumong)
kisha tukaanza kuangalia huku tukiweka mipango imara ya familia
muda ulizidi kuyoyoma hadi ikafikia mda wa kula ambapo tuliingia mezani tukala kisha tukaelekea chumbani na kujitupa kitandani
tukiwa bado tunaendelea na maongezi mbalimbali
japo maongezi yetu yalizidi kunoga lakini yalikuja kushambuliwa na adui mmoja anayeitwa usingizi hakukuwa na upinzi pindi adui huyu alipotutembelea hivyo tukajikuta tukipitiwa na usingizi mzito sana hadi pale alarm ilipoanza kuita na kututoa ndani ya usingizi ule mzito
khaaa tumechelewa"ilisikika sauti ya precious maskioni mwangu punde alipoamka baada ya alarm kuita
hivyo akaniamsha na mimi kisha akaanza kujiandaa kwa safari ya kuiwahi ndege mda huo ulikuwa umeshatimu saa 7:38 am hivyo ikabidi ajiandae harakaharaka na mimi kuelekea kwenye gari huku nikiwa ndani ya bukta kisha nikaiwasha na kumsubili precious kuianza safari.......baada ya precious kujiandaa akatoka ndani na kuingia kwenye gari na kuondoka pale nyumbani kuelekea airpolt
ntakukumbuka sana babe wangu"nilimtamkia precious huku nikiuluhusu mkono wangu uzunguluke juu ya tumbo lake
usijali miezi miwili si mingi sana japo hata mimi nauzunika kukuacha peke yako"
maneno ya kugeana faraja yalizidi kutawala ndani ya gari hadi tunafika airpolt tulikuwa bado tunaongea mambo mbali juu ya uhusiano wetu na mgeni ambae anatarajiwa kuja miezi kadhaa mbele
kwakuwa tulichelewa kufika airpolt hivyo baada ya kufika hatukuweza kuongea sana zaidi nilimsaidia begi hadi chekpoint kisha tukaagana na yeye kuingia hadi chumba cha wasali
niliiendelea kukaa pale nje hadi nilipohakikisha ndege imeacha ardhi ya mwanza na kukata anga ndipo namimi nikaingiza funguo kwenye gari na kuondoka kurudi
mawazo juu ya precious yalizidi kutawala akili yangu kwa mda huo
huku kichwa changu kikizidi kuludia sentensi yake ya ukinisaliti utaniumiza

niliendesha gari kwa mwendo wa spidi kiasi na ndani ya dakika kadhaa nikawa nipo mbele ya geti la nyumba nikashuka kisha nikaenda kufungua geti na kuliingiza gari ndani
na kuliweka sehemu yake
baada ya kupark gari nikaelekea moja kwa moja hadi bafuni na kuoga kisha nikatoka na kuelekea kwenye kabati ambapo nilichukua nguo kwenye kabati nilizopanga kuzivaa siku hiyo
mmmh hii kazi ya kusimamia hoteli inaweza kunishinda"nilijiongelea kimoyomoyo kipindi hicho nilikuwa nikiweka tai vizuri shingoni
baada ya kujihakikishia nimekuwa kama nilivyotaraji nikatoka nje na kuiendea parking kisha nikachukua gari ambalo nilipanga kutoka nalo siku hiyo
kwenda kazini
boss boss"ilisikika sauti ya john ikiniita punde niliposhuka kwenye gari
eeeh vipi john"nilimuitikia huku nikigeuka kumuangalia
kuna dada alikuja hapa anaitaji kazi amekaa pale pembeni ya geti"aliongea john huku akinyoosha mkono kunionyesha sehemu ambapo mtu huyo alipokuwamekaa
ambapo nilimuona mdada mmoja akiwa amekaa pembeni ameegemea ukuta wa geti huku mikononi mwake akiwa ameshika karatasi kubwa la kaki
mwambie aje ofisini"nilimwambia john huku nikianza kupiga hatua kuelekea ofisini ambapo sikuchukua mda mrefu mlango uligongwa kuashilia mtu alitaka kuingia
nilitambua mtu huyo atakuwa yule dada hivyo nikamruhusu aingie ndani
sikuwa nimebahatisha alikuwa ni yule mdada aliyekuwa pale getini na ile karatasi kubwa aliyoishika ilikuwa ni bahasha ambayo kwa ndani ilikuwa imewekewa vyeti vyake japo sikuwa nimejua ni vyeti vya aina gani ila nilibashili kuwa huenda ni vyeti ambavyo alitaka kuombea kazi
naitwa Alice Maduhu ni mzaliwa wa hapahapa mwanza na hivi ni vyeti vyangu vya hotel management "aliongea yule msichana ambae alijitambulisha kwa jina alice huku akinyoosha mkono wake kunikabidhi vyeti vyake
eti na mimi boss hadi nanyenyekewa"nilijisemea kimoyomoyo huku nikiachia kijitabasamu kiasi
baada ya kupokea vyeti vile nikaanza kupepesa macho juu ya karatasi lile lililojawa na marks b kila sehemu hali iliyopelekea niache kupepesa macho na kumuangalia usoni kwa mda kisha nikajikohoza na kumtupia swali
inaelekea ulikuwa unauwezo sana darasani kwenu"nilimuuliza
hapana kawaida tu"alinijibu huku akijishikashika vidole
vyake kwa aibu

unavyeti vizuri ila kwa leo sitokwambia chochote kuhusu kazi kama utaweza uje kesho mda na wakti kama huu"nilimwambia huku nikinyoosha mkono kumkabizi vile vyeti vyake
ahsante boss natumaini nitapata majibu mazuri nitakapo kuja kesho"aliongea yule msichana huku akichukua vyeti vyake na kuviweka kwenye ile bahasha kama hapo awali kisha akaaga na kuondoka

baada ya yule mdada aliyekuja kuomba kazi kuondoka nikachukua file moja lililokuwa pembeni yangu kisha nikaanza kulipitia kila sehemu kujua mwenendo mzima wa ofisi ile kwani ilikuwa tofauti na kazi niliyokuwa nafanya hapo mwanzo ya kuwahudumia wateja

nikiwa bado naendelea kupitia file lile mlango wa ofisini ukagongwa na sauti ya kike ikifuatia kwa nyuma
nilimtambua mpigaji hodi yule na nilijua kilichomleta pale ofisini kwa mda huo
ingia nilimjibu huku nikirudisha lile file nililokuwa napitia

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kunyonya Mboo Kiufundi 💋💦💦

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege