Mwanamke Ukiona Unatongozwa na Kila Mwanaume Ujue Wewe Ni....
Kuna wanawake kadhaa huwa wanafurahia sana kuwa wao kila wanapopita wanaume wanawatongoza. wanaongea kwa majidai sana na furaha kama vile ni jambo la kujivunia. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiona unatongozwa kila sehemu na kila mwanaume ujue wewe ni kimeo sana. sana yaani kila mtu anaona kuwa ana uwezo wa kukupata. unakuwa kama vile daladala au bodaboda kila mwenye uwezo wa kusimamisha anasimamisha. ni kuwa upo kiwango cha kuwa used anytime na anybody. so epuka hali inayokufanya uonekane cheap. usifurahie kuwa kila unapopita watu wanapiga miluzi na kukufurahia wakikuita ukaona kuwa una nyota ya kupendwa. ujue una nyota ya mbwa kupigiwa miluzi au nyota ya uchafu kufuatwa na inzi. haiwezekani kila mtu anakusimamisha kukutaka kimapenzi. muuza maji, dereva wa boda boda, dereve wa daladala. dereva taxi, jamaa tu njiani kakuona, mwanasheria,ukienda hosp dokta anakutaka, nurse naye anakutaka, ukienda shule mwalimu naye anakutongoza. ukienda ofisi flan hr naye anakutaka, mlinzi naye... Yaan wewe u...