Valentine's Trick (Nogesha Penzi Lako)
Valentine sio tu about spending, it is more about kufikisha ujumbe to the people we love... Inatakiwa huo ujumbe uwe walau umetoka katika moyo wako na wayamaanisha, najua sio woote wajuzi wa ku compose message but ni muhimu pia kuangalia ujumbe ambao umekua derived toka katika mahusiano yenu ili walau hata kama mmeshindwa kutana na mpenzi wako kufanya lolote la msingi pamoja ajue kua you are in her/his thots.... Angalia huu mfano chini... ipi mpenzi ataifurahia zaidi?
Mfano:
Hii ni message ya ku copy na kupaste....
O my love Valentine.What is life?
Life is love.What is love?
Love is kissing.What is kissing?
Come here and I show you
Hii ni message ya ku compose mwenyewe....
Mpenzi natamani tungekua wote siku ya leo,
nimemiss mapish yako, nime miss your unique
way of kissing, I wish ningeweza sikia those crazy
sounds u make when we make love... na more so
I love that rough but sexy laugh of yours...
Kwa ubunifu wa namna hii itakuwezesha kumfurahisha zaidi mpenzi wako na kufanya penzi lenu lianze upyaa kama mwanzoni

Comments
Post a Comment