Dalili 5 za mwanaume mzuri kitandani.

 

Zifuatazo ni dalili 5


za mwanaume mzuri kitandani.

Hana haraka.


Mwanaume mzuri kitandani anatambua kuwa, kama anataka kulifurahia tendo la ndoa ni sharti alijoingee taratibu. Kama atakuwa mvumirivu na mtaratibu kwako, kuna uwezekano mkubwa wa kuiishi hali hiyo muwapo kitandani pia.


Wewe ni malkia wake.


Mwanaume timamu anatambua kuwa mwanamke anapaswa kutendewa kama malkia, na kama umeiona dariri hiyo kwake, mtarajie kuwa mfalme wako kitandani. Kama anakupenda kiasi cha kukuchukulia kama malkia wake, atafanya lolote awezalo kuhakikisha unaridhika muwapo kitandani


.


Anauthamini uzuri wako.


Mwanaume mzuri kitandani anaujua uzuri wa mkewe, atakufanyia yake yote kitandani kuhakikisha kuwa unajisikia wa pekee. Mwanaume mzuri kitandani daima anatambua hilo na anapenda kulionyesha waziwazi kwa mkewe.


Si mbinafsi.


Mwanume mzuri kitandani si mbinafsi kwakuwa anatambua kuwa tendo la ndoa ni jambomnalopaswa kuridhika na kulifurahia pamoja. Anatambua vyema kuwa, kama vile unavyompa furaha muwapo kitandani, anapaswa kukufanya ujisikie mwenye furaha pia


Ni hodari wa kutomasa.


Mwanaume mzuri kitandani anajua muda na sehemu husika za kumtomasa mpenzi wake. Mwanaume bora anatambua kuwa mahaba  hayaanzii kitandani moja kwa moja bali masaa kabla ya zama chumbani. Anatambua kuwa inampasa kukushika mkono unapoongozana naye kwakuwa anatambua nguvu ya kushikana.


Je, unadhani mpenzi wako ni mzuri kitandani?

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza