Jinsi Ya Kutumia Kondomu Ya Kike

Kondom ya kike inaweza kuwekwa ndani ya uke hadi masaa 6 kabla ya kufanya mapenzi.
Jitahidi kutokugusa sehemu za siri za mpenzi wako (au osha mikono yako) kabla ya kugusa sehemu zako za siri.
1. Tazama paketi ya kondom ambayo bado haijafunguliwa.Hakikisha haijaharibika au kupasuka.Angalia tarehe ya mwisho ya matumizi ya kondom hii, ambayo itakuwa imechapishwa sehemu ya nje ya paketi ya kondom kuhakikisha tarehe haijafika. Kama tarehe imeishafika na kupita, tumia kondom nyingine.
2. Fikicha kwa upole paketi ili kuhakikisha majimaji yaliyomo yanasambaa kote kwenye kondom.Fungua paketi kwa uangalifu kwenye sehemu yenye makucha kama msumeno, ili kuhakikisha kondom haiharibiki.Usitumie makucha au meno kufungua paketi kwa sababu yanaweza kuchana kondom.Unapogusa kondom, iwe na utelezi kidogo. Kama kondom haina utelezi, imeharibika, kwa hiyo usiitumie. Sehemu ya nje ya kondom huwa na majimaji yanayo-rahisisha kufanya mapenzi.
3. Ni rahisi zaidi kuingiza kondom ukeni kama unachuchumaa, kupandisha mguu mmoja juu ya kiti, au kulala kitandani ukiwa umekunja magoti wakati umepanua miguu yako wazi kabisa.
4. Minya kondom kwa nje, ukiminya sehemu mbili za mviringo mdogo wa ndani kwa pamoja.
5. Wakati umeendelea kushikilia sehemu ya nje ya kondom namna hii, pole pole ingiza mduara mdogo wa ndani ukeni ukitumia kidole cha shahada.
7. Hakikisha mduara wa nje wa kondom unaishia kwenye mlango wa uke: usiingie ndani ya uke. Mduara wa nje utafunika mlango wa uke wakati wa kufanya mapenzi.
8. Usitumie Vaseline, losheni au aina nyingine yeyote ya mafuta kuongeza utelezi wa kondom zaidi. Mafuta ya aina hii huongeza uwezekano wa kondom kupasuka. Kama unahitaji utelezi zaidi, tumia mate au majimaji maalum yaitwayo KY-Jelly, yanayopatikana katika duka ya madawa.Fanya mapenzi ndani ya muda wa masaa 6 baada ya kuvaa kondom.Tumia mikono yako kuongoza uume ndani ya kondom, ili kuhakikisha kuwa uume unaingia ndani ya kondom na siyo kando.
9. Baada ya kufanya mapenzi, viringisha mduara wa nje wa kondom mara moja ili kuzuia shahawa kumwagika.Kisha toa kondom ukeni polepole.
11. Tupa kondom kwenye choo cha shimo, au ichome moto.
Nawa mikono yako na maji na sabun

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza