Makosa Wanayofanya Wanaume Wakiwa Wana Sex🤦‍♂️ part I

Najua kwamba karibu kila mwanaume anadhani yeye anaongoza kwa stahili wakati wa kufanya mapenzi, lakini wote tutakubali kwamba tunaweza kuwa tunafanya kitu sio sahihi. Hakuna njia nzuri ya kuimarisha uwezo wako zaidi ya kujifunza kupitia makosa yako.

 

Kama wewe ni mtu ambae unahitaji kupata mpenzi, au mtu aliyeoa unatafuta kuongeza kidogo kiungo katika maisha yako ya mapenzi, haya hapa makosa 12 mabaya ambayo wanaume wanafanya wakiwa kitandani na wapenzi wao na nini unaweza kufanya kuziepuka.

Na Uhakika utapata angalau makosa 4 hapa zinakuhusu kutoka makosa 12!!

 

Kosa La 12 – Hakuna maandalizi.

Katika kura nyingi zinazopigwa na wanawake katika utafiti mingi inayofanywa utagundua hili lipo sana, wanalalamika kuhusu wanaume hawatumii muda kuwaandaa, yani michezo fulani kabla ya tendo lenyewe, Pia kufanya haraka inafurahisha lakini ni muda hadi muda, wanawake wengi wanaeleza tofauti na hivi.

 

Kwa hiyo, unatakiwa utumie hata dakika 10 – 15 kwa kumuandaa mwanamke vizuri kabiisa (Foreplay) nah ii itahusisha vitu vyote ambavyo mpenzi wako anavipenda:

  1. Kumpapasa sehemu muhimu anazopenda ili akili yake na mwili viwe tayari.

  2. Jaribu kumtumia meseji za mapenzi kuandaa akili yake kwa ajili ya tendo hilo na kumtumia hata meseji chafu, unaelewaaa LOL!



  1. Ongea uchafu kuinua hisia zake za mapenzi.


Weka kichwani: itakuwa kitu maalum kifanyike ili kuweka hisia zake za kimapenzi sawa, unaweza ukajaribu hata njia nyingine zaidi wakati wa kumuandaa yani mautundu yazidi.

Kosa La 11 – Uwezo mdogo wa kuvua nguo

Wanaume watatakiwa wajue kumfanya mtu awe na hali ya kutaka kufanya mapenzi ni muhimu kwa kila mwanamke ambae unaenda kufanya nae mapenzi, Ingawa wachache wetu tunagundua kwamba unaweza pia ukapoteza hisia kwa uwezo mdogo wa kumvua nguo mpenzi wako.

Usikate tama, nakwenda kukwambia au kukupa ushauri jinsi ya kulifanya hili ili umalize tatizo hilo:

 

  1. Kosa namba 1 wanalofanya wanaume wengi tunavua nguo alafu tunaacha kuvua soksi.

  2. Hakuna kitu kibaya kama mfano wakati unamvua nguo ikiwemo bra na nguo nyingine unakuwa una haraka mara umevunja kifungo, au umechana nguo au unaharibu nguo yake hata clip za kubana nguo.



  1. Kuwa muangalifu wakati ukimtoa panties mtoe kwa njia kama unacheza taraatibu na kumuonyesha kinachofuata.


Usisahau hili: Unaweza ukaanza kufungua pant yake kwa kutumia meno yako lakini utahitaji msaada wa mikono yako kwa mbali mpaka uhakikishe imeshuka chini ya her ass. LOL

 Kosa la 10-Usafi Wa Mwili


Kwa bahati mbaya jitahidi ufanye haya kuepuka makosa haya 12 yanayofanywa na wanaume, wakati wakiwa kitandani:

 

  1. Oga kila siku

  2. Tumia manukato mazuri ya wanaume

  3. Nyoa ndevu, mustachi na nywele za kwenye kikwapa.

  4. Pata msaada wa saluni wanazonyoa watu wengi.


Pay Attention: Kuwa na kichaka huku chini pia ni ishu, kwa hiyo,kila wakati hakikisha haunuki jasho, hautoi harufu mbaya na kupunguza nywele za mwilini.

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza