Zifahamu Faida Na Umuhimu Wa Shanga Kiunoni Kwenye Mapenzi.

Zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa wa tendo la ndoa;

1.Unaweza Ukazivaa kama urembo.
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto, sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.

2.Ili kiuno kionekane vizuri pindi wanapokatika.

Kwenye Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya viuno vionekane kweli vinakatika.
Na kwa upande wa shanga, kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo. Na pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.

3.Kwa ajili ya kumpa hamu mwanaume ya kupata raha na utamu.

Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda. Hata sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.

4.Kwa ajili ya kujiongezea raha wewe mwenyewe (mwanamke) wakati wa kupeana raha na utamu.

Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako, chezea shanga kwa kuzipapasa, ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya, na atapata Raha na Utamu wa kipekee sana.

5.Unawea ukazivaa ukiwa unamaanisha kitu kutegemeana na rangi zake.

Kuna Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za Shanga,

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Mwenye Nyege

JINSI YA KUCHEZEA MATAKO YA MWANAMKE NA KUMPA RAHA YA AJABU KWA KUYABINYA KATIKA MIELEKEO MAALAM SOMA HAPA

Kanga Moja....Ndembe Ndembe. Sehemu ya Kwanza