Tofauti Kati ya Mapenzi ya kweli na Mapenzi ya Juu Juu
Mapenzi ya kweli ni kuhusu makubaliano ya kila mmoja na kujifunza zaidi ya hayo.
Moja ya vitu vingi ambavyo wanadamu huvitafuta katika maisha yao ni mapenzi ya kweli.kwa maneno mengine kutafuta mapenzi ya kweli badala ya mapenzi ya juu juu au ya nje.
Ni Ngumu Kuutofautisha Mwanzoni.
Tunapoingia kwenye mapenzi kwa mara ya kwanza, Tunahitaji kuwa waangalifu na vitendo vya mtu kwa taratibu, tusije tukapigwa miguu. Kwa sababu mabadiliko yote yanaweza kuleta ugumu wa kumtambua mtu tunaetaka kuwa nae kwenye mapenzi.
Kwa hio tutafahamu vipi kama haya ni mapenzi ya kweli au mapenzi ya juu juu? Jibu linaweza kutofautiana kutokana na mazingira utakayoishi au kupitia. Inaweza kuwa ya mafanikio au yakawa hayana mafanikio kwenye mahusiano uliopo.
Ni muhimu kuonyesha kuwa kama mtu ambaye amezoea mabadiliko, Na inategemea na maamuzi unayofanya wakati huo .Kwa njia hio utatoa taarifa jinsi ambavyo ulivyo. na unataka nini.
Matukio ndio yatakayokuonyesha kuwa huyu mtu ana mapenzi ya kweli au ya juu juu. Itakuja kawaida kila tukio jipya linapotokea.
Unapopata kazi nzuri, unapohitaji kwenda chuo, au kufanya kazi kampuni nyingine kwa kipindi kirefu nje ya nchi yako. Hilo nalo ni jaribu la kujua kama huo ni upendo wa kweli au wa juu juu.
Mapenzi sio kuangaliana kila mmoja, lakini mapenzi ni kuwa na mwelekeo mmoja kwa wote wawili. Kusifiana kwenye malengo na kukubali mabadiliko ya mtu yanapokuja.
Wanasaikolojia wamefanya uchunguzi wa kujua namna ya kila mtu anavyohitaji mapenzi kwa mtu mwingine.
Mwenza wako anakupenda kwa jinsi ulivyo kimwili: Utu, tabia, thamani ya mtu, na misingi ya vipengele vyetu ambavyo haviwezi kubadilika unapokutana na kitu kipya katika maendeleo ya kila siku. Hii ni tofauti na kabila, mahali ulipozaliwa, jinsi tulivyo mila na desturi.. Ni kujifunza kuwa sisi ni kina nani kwanza ndipo utaanza kutafuta mwenza ambaye atafiti mahali ambapo pana nafasi , anayeujaza moyo wako na sio kupunguza upendo wa moyo wako.
Mapenzi ya kweli ni kujikubali kwanza jinsi ulivyo, kujipenda kwanza, badala ya kusubiri mtu wa kukupenda au kukununulia zawadi za gharama. Ni kuhusu kila mtu kujikubali kwanza yeye mwenyewe. Hapo mtaweza kuboreshana na kukua vizuri kwenye mahusiano ya mapenzi mtakayokuwa nayo.
Maisha sio hatima ni safari. Ni vizuri kama ukipata mwenza ambaye Ana upendo wa kweli kama ulivyo wewe. Mwenza mwenye kujijali na kuwajali wengine, mwenye kujipenda na kuwapenda wengine.Kuwakubali wengine. Huo ndio upendo wa kweli mwingine ni wa juu juu.

Comments
Post a Comment