Makosa Wanayofanya Wanaume Wakiwa Wana Sex🤦♂️ part IV
Kosa La 3 – Kupuuza anachokisema na Vitu anvyoonyesha kwa matendo. Huu ni mfano mwingine ambao unaonyesha kwanini mawasiliano ni muhimu sana, kwa wapenzi wengi, tendo la ndo linakuwa sio active kwa sababu ya ukosefu wa kujaribu, lakini kwa sababu mmoja anashindwa kuelewa viashiria mwenzake anavyoonyesha. Tuwe waaminifu kwa kila mmoja wetu Hii inakuwa kwa wanaume sana kwa sababu pia ya ubabe na mfumo dume, lakini kama unaweza kugundua hili kidogo, hautakuwa na shida kumaliza tatizo hili, wakati unamfurahisha angalia vitu vyake kama: Toa milio na kuonyesha unaridhika kwa milio kama Oooh!! Baby! Oh Yes! Jikunje kwa nyuma yake huku ukimpapasa. Mcheze maziwa na kumbusu kwenye mashavu kila mara. Nyonya chuchu zake. Weka kichwani : Hizi ni baadhi tu ya dalili kwamba anafurahia unachokifanya, kama unajiongeza zaidi,utaweza kumpa penzi zuri kabisa. Kosa La 2 – Kurudia rudia jambo ambalo halipendi Tena, kusema ukweli ni muhimu, jaribu mkao mwingine na ndio, kubadilisha mika...